Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Tufanye hili limeisha tufurahie ushindi mnono... Namuona jirani kabinua midomo kama ana safura [emoji23]Kwa mbaali kama nitakusamehe hi, si kama wale waliopiga bomb mochuari halafu wanashangilia wameua kwa risasi, wakati kuonesha kuwa aliyeuawa alikua ameshakufa ni kitendo chake cha kuingia hospitali saa saba usiku
Wewe nawe sasa una shida! Sitakiwi kutoa maoni sasa humu jukwaani! Nikitoa tu, basi nateseka!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huachi kuteseka shougaaa angu, poleeeeeeh
Mkuu Mshughulishaji Nimepata ujumbe wako na ukiangalia hapo umo kwenye Jopo Zima la Lunyasi [emoji881]Mkuu kwa kitendi cha kutonitag hapo list yako imekuwa batili, rudia tena
Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Asante Mwamba Mshana Jr Ni kama umeniwakilisha bungeni yaani.Mkuu Mshughulishaji kwanza big respect kwani hiyo list katoa mwamba wetu anayetuhabarishaga ishu za kabumbu Ghazwat sio yangu ila pia kasema na wengine
Nanukuu: Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja
Nguvu moja[emoji91].Karibu Jopo Zima la Lunyasi Mwifwa, OKW BOBAN SUNZU, Scars, Kinyungu, denooJ, Kalpana, Shunie, Mshana Jr, BRN, Mawawa, mpiga vichwa, koboG, Waminyato, Pettymagambo, SAGAI GALGANO, Troisième Ceil, 3ZOV, Proved, mkwepu jr, Satoh Hirosh, Elli, MTAZAMO, Designer_3434, TUJITEGEMEE, Mac Alpho, Kiweriweri, Donnie Charlie, CHIEF PRIEST, rodrick alexander, Chaliifrancisco, Mtoto halali na hela. Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja
Hakuna mshamba hata mmoja hapo[emoji817][emoji322][emoji818]
Huwezi kuita "uhalisia" kitu ambacho hukijui na wala huwezi kuthibitisha, hii scenario tunaiita umbea.Umepaniki mno, lakini huo ndio uhalisia. Wakati Gomes hakuwa na vigezo simba walimchukua Hitmana kama gelesha tu ila maamuzi anafanya anayeijua timu ni hivyo hivyo kwa Matola na Mgunda.
Mkuu home inakuwa kama msiba,hakuna wa kumuuliza mwenzieMkuu I hope yule kijana jirani yako shabiki kindaki ndaki wa Simba uliyemnunulia jezi mwaka jana umemkumbuka tena safari hii.Ukweli Simba ikifanya vibaya tunateseka sana sisi mashabiki emotionally kuliko hata wachezaji.Hawajui tu jinsi tunavyoteseka,imagine makinda yangu wote Simba,tukifungwa nakuwa na kazi ya kuwasaidia kuwatuliza kuelewa kuwa kupoteza ni sehemu ya mchezo pia.
Polee ila mambo yalienda mswano.Ahsante kwa kuniita Dear...
Nimechelewa kuona...
#nguvumoja#