FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

Kwa mbaali kama nitakusamehe hi, si kama wale waliopiga bomb mochuari halafu wanashangilia wameua kwa risasi, wakati kuonesha kuwa aliyeuawa alikua ameshakufa ni kitendo chake cha kuingia hospitali saa saba usiku
Tufanye hili limeisha tufurahie ushindi mnono... Namuona jirani kabinua midomo kama ana safura [emoji23]
 
[emoji176]
Screenshot_20220911-052937.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huachi kuteseka shougaaa angu, poleeeeeeh
Wewe nawe sasa una shida! Sitakiwi kutoa maoni sasa humu jukwaani! Nikitoa tu, basi nateseka!!!

Halafu useme rafiki yangu basi!! Hilo neno unalotumia mara kwa mara linaleta ukakasi!! Na usisahau mimi ni mpingaji mkuu wa hayo mambo.
 
Mkuu Mshughulishaji kwanza big respect kwani hiyo list katoa mwamba wetu anayetuhabarishaga ishu za kabumbu Ghazwat sio yangu ila pia kasema na wengine
Nanukuu: Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja
Asante Mwamba Mshana Jr Ni kama umeniwakilisha bungeni yaani.

Ubarikiwe sana...[emoji120] Nguvu Moja [emoji881]
 
Karibu Jopo Zima la Lunyasi Mwifwa, OKW BOBAN SUNZU, Scars, Kinyungu, denooJ, Kalpana, Shunie, Mshana Jr, BRN, Mawawa, mpiga vichwa, koboG, Waminyato, Pettymagambo, SAGAI GALGANO, Troisième Ceil, 3ZOV, Proved, mkwepu jr, Satoh Hirosh, Elli, MTAZAMO, Designer_3434, TUJITEGEMEE, Mac Alpho, Kiweriweri, Donnie Charlie, CHIEF PRIEST, rodrick alexander, Chaliifrancisco, Mtoto halali na hela. Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja

Hakuna mshamba hata mmoja hapo[emoji817][emoji322][emoji818]
Nguvu moja[emoji91].
 
Umepaniki mno, lakini huo ndio uhalisia. Wakati Gomes hakuwa na vigezo simba walimchukua Hitmana kama gelesha tu ila maamuzi anafanya anayeijua timu ni hivyo hivyo kwa Matola na Mgunda.
Huwezi kuita "uhalisia" kitu ambacho hukijui na wala huwezi kuthibitisha, hii scenario tunaiita umbea.

Sijapanick mkuu
 
Mkuu I hope yule kijana jirani yako shabiki kindaki ndaki wa Simba uliyemnunulia jezi mwaka jana umemkumbuka tena safari hii.Ukweli Simba ikifanya vibaya tunateseka sana sisi mashabiki emotionally kuliko hata wachezaji.Hawajui tu jinsi tunavyoteseka,imagine makinda yangu wote Simba,tukifungwa nakuwa na kazi ya kuwasaidia kuwatuliza kuelewa kuwa kupoteza ni sehemu ya mchezo pia.
Mkuu home inakuwa kama msiba,hakuna wa kumuuliza mwenzie
 
Back
Top Bottom