FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

Mzee Jummanne ni moja kati ya wanazi sugu wa Simba kiasi kwamba hawezi kukaa katika kiti cha njano.

Nilipomuona leo kwenye benchi la Pamba, roho ikawa kwatu
 
Lia lia fc mwendo wa kimoko .kweli πŸ’›πŸ’š ni jitu kubwa liki shinda kimoko kelele mingii ila kwa hawa ads Fc kelele amna
 
Lia lia fc mwendo wa kimoko .kweli πŸ’›πŸ’š ni jitu kubwa liki shinda kimoko kelele mingii ila kwa hawa ads Fc kelele amna
Mmshukuru mkuu wa mkoa alijikatia tamaa otherwise kipigo heavy kingewakuta
 
Na Mwanza hawajifunzi tuuu...sijui akili zitawarudia lini?

Kilichoiua Toto Africans ni Uyanga Yanga wake. Ilifika kipindi Wakazi wa Mwanza ambao sio Mashabiki wa Yanga walikuwa wanafurahia Toto ilipokuwa inafungwa, na hata iliposhuka daraja walifanya vibe kubwa.

This time around wakasema walau Pamba imepanda, labda haitakuwa na ule ujinga. Lakini naona mambo yamejirudia tena. PAMBA ITASHUKA DARAJA NA MWANZA WATAKAA BILA TIMU TPL KIZEMBE SANA.
 
SIMBA SC 1

MTANDA FC 0

UBAYA UBWELA HUTAKI KUNYWA SUMU UFE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…