FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
PAMBA JIJI FC🆚YOUNG AFRICANS SC
📅28.02.2025 | 🏟️CCM KIRUMBA | ⏱️4:15PM

Karibu kwa update za mchezo wa Leo
20250228_093623.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
1740745251345.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 1
Mwamnyeto amefanya madhambi

Dakika ya 6
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 7
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 9
Pamba jiji wanapata kona

Dakika ya 12
Pamba jiji wamekosea nafasi ya wazi na wanapata kona ya pili hapa

Dakika ya 13
Mechi imesimama kipa wa pamba jiji kaumia

Dakika ya 15
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 16
Pamba jiji wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 17
Yanga SC wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 22
Pamba jiji wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 24
Mudathir anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 27
Yanga SC wanapata Free kick nje kidogo ya 18

Dakika ya 28
Bokaaaaaa goal

Dakika ya 33
Pmb 0 -1 yng

Dakika ya 34
Pamba jiji wanakosa nafasi ya wazi na wanapata kona ya 3 na wanapata kona nyingine ya 4

Dakika ya 36
Mechi imesimama Israel mwenda kaumi hapa

Dakika ya 38
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 43
Yanga SC wanapata kona
Mzize anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 44
Yanga SC wanapata kona ya 4

Dakika ya 45+4
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄
Pamba Jiji 0-1 Young Africans
SC
20250228_171634.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 45
Max anakosa nafasi ya wazi

Dakika 46
Yanga SC wanapata free kick Aziz k anapiga anakosa nafasi ya wazi


Dakika ya 47
Yanga sc wanapata kona ya 6

Dakika ya 53
Yanga SC wanapata Free kick

Dakika ya 61
Pmb 0 - 1 yng

Dakika ya 64
Mechi imesimama hapa mchezaji wa pamba jiji kaumia

Dakika ya 67
Mabadiliko anatoka mzize anaingia ikanga lombo

Dakika ya 72
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 74
Gooooal Aziz k chuma cha pili

Dakika ya 77
Aziz k goaaal chuma cha 3

Dakika ya 81
Mpira umesimama

Dakika ya 90+4
FT
 
Hakuna mechi hapa, next season tff angalieni hili la mdhamini mkuu kudhamini timu zaidi ya moja.
Abdallah vs dullah
Muhamedi vs mudi
Bakari vs beka

Hakuna mechi hapo wala sitapoteza muda wangu kwenda kuiangalia hiyo mechi.
Kuweni wavumilivu basi. Zamu yenu na nyinyi inakuja tarehe 8. Na hapo ndipo tutakapo amini hiki mnachokisema.
 
Back
Top Bottom