FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji🔰💪🏽

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
1740745251345.jpg
 
Ameanzisha Uzi Kama anakimbizwa sijui aliniogopa???ila kwa vile Uzi unaihusu
yanga sio mbaya all in all Yanga bingwa
Tulia masta 😀 hapa nakufundisha jinsi ya kutoa update post no 1 kwenye Uzi mwanetu maana wewe huwa hautoi Nini kinaendelea uwanjani mwanetu kuhusu kuogopa sio kweli au wewe mgeni humu mbona mie huwa naanzisha mara nyingi tu hizi nyuzi za live sema niki komaa uwezi kupata hata nafasi na muda mwanetu na WIFI yangu nimelipia kwa hiyo Kila game ya Yanga nitakuwepo online 😎😎😎😃😀
 
Huyo hajui kuanzisha nyuzi za mpira bora tu angebaki mtazamaji. Huyo na surely wanaboa sana kuleta ukiherehere kuanzisha nyuzi huku updates hawatoi. Raha ya uzi wa mpira updates na utani wa hapa na pale na sio mleta mada kuongoza kutoa kashfa na masimango kwa majirani

Huyu miyeyusho sana afu eti anasema namuogopa 😃😀😀
 
Back
Top Bottom