sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Tawi Leo lazima liwakazieWazee wa Kupeleka Motoo..!💚💛🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tawi Leo lazima liwakazieWazee wa Kupeleka Motoo..!💚💛🔥
Dada Leo hamna ushindiLeo tena Wananchi tuna jambo letu kuelekea march 8.
Tukutane dk ya 90Tawi Leo lazima liwakazie
Tulia jirani naziona goli zaidi ya mbili hapo za kuifungia Feb.Dada Leo hamna ushindi
Naona kocha alishajua ilo,ndio maana akaanzisha kikosi hivi,kipindi Cha pili watakua hoi ,wanaingiza kina azizi k na chama na mchezaji mpya,ushindi unapatikanaPamba jiji wanafanya sana mashambulizi
Hii hapaNaombeni link ya fawanews
Nawaombea mabaya lolote baya liwakute.Tukutane dk ya 90
wakifunga hii inatoka drooPamba jiji wanafanya sana mashambulizi
Sijui utaficha wapi uso wakoNawaombea mabaya lolote baya liwakute.
😌🤔Sijui utaficha wapi uso wako
Kama hiviWashavua top