ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Utajiju..!ujinga mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiju..!ujinga mtupu
Tarehe 8 utaeleza unadhaminiwa na nani.Hakuna mechi hapa, next season tff angalieni hili la mdhamini mkuu kudhamini timu zaidi ya moja.
We matako kashambikie netballGame fixing
kuna TFF,CAF,FIFA na CAS, hata TAKUKURU pia. Peleka ushahidi wako huko vinginevyo tazama hii clip.Game fixing
Kolo unaumia kutokea wapi?Maigizo yamepangwa kwa ustadi mkubwa sana.
Kama hayaMaigizo yamepangwa kwa ustadi mkubwa sana.
Tarehe 8 utaeleza unadhaminiwa na nani.
Kila siku unakumbuka hili, hukumbuki ulipigwa 6-0 kenge wewe
Unasikiaga ile kauli Dua la kuku halimpati Mwewe.Naomba mabaya yote yaikute yanga kila lakheli cotton fc.
Mpira ni burudani 😌 salamaleko.Unasikiaga ile kauli Dua la kuku halimpati Mwewe.
Wewe ni kuku mwenye Kideri
Punguza jazba usijibu kama mama mjamzito wa miezi 7Kila siku unakumbuka hili, hukumbuki ulipigwa 6-0 kenge wewe
Mpira ni burudani 😌 salamaleko.
GSM VS GSM