kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nimecheki list ya wafungaji caf kibu d yupo na goal nne na bado wanaendelea na mashindano...Kabisa mwanetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheki list ya wafungaji caf kibu d yupo na goal nne na bado wanaendelea na mashindano...Kabisa mwanetu
SawaNimecheki list ya wafungaji caf kibu d yupo na goal nne na bado wanaendelea na mashindano...
Sowah ana magoli mangapi CAF ?Sawa
Wataona vochwa vya Ki shwaaaTarehe 8 kazi wanayo
Utajua tarehe 8 mwanetu we tulia tuSowah ana magoli mangapi CAF ?
Apostle nini kimetokea? Siyo kila mtu yupo kwenye tv.Ye mwenyewe hajiamini kama kafunga na kichwa 🤣🤣🤣
pamba wameambiwa mkifika dakika ya 75 nakuendelea mulegeze kidogo kakazenu wanautaka ubingwa tenaWataona vochwa vya Ki shwaaa