FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Yanga wanakosa magoli ya wazi sana kwakile kutaka mimi nifunge
 
Pamba pumzi ishakata.. Lau wangekomaa ma ile nguvu ya dakik za mwanzoni Yanga angekufa
 
Mod itakua kolo,match za makolo uwa fasta anabadilisha ubao,leo mpaka sasa hivi Yanga 3 lakini ubao bado unasomeka 1
 
Yanga akipata timu inayompelekesha dak 90 haitoboi... maan inasubir timu ichoke ndo waingize nguvu mpya wafunge
 
Kuna maigizo kuliko yale ya kipini Camara kuurudisha mpira ndani na kijili kujifunga?
1000230482.jpg
 
Back
Top Bottom