FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Aliyeishiaa makundi CAF cl ni sawa na aliyefika final cafcc kazi kwako endelea kusaka mfanano
 
PAMBA JIJI FCπŸ†šYOUNG AFRICANS SC
πŸ“…28.02.2025 | 🏟️CCM KIRUMBA | ⏱️4:15PM

Karibu kwa update za mchezo wa Leo
View attachment 3252771
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
View attachment 3252998
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Mwamnyeto amefanya madhambi

Dakika ya 6
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 7
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 9
Pamba jiji wanapata kona

Dakika ya 12
Pamba jiji wamekosea nafasi ya wazi na wanapata kona ya pili hapa

Dakika ya 13

Dakika ya 90+4
Ila Vincenzo Jr we jamaa kiboko,hizo nafasi za wazi kwenye hii mechi wangezitumia vizuri matokeo yangekua goal 20-50.
 
Huna akili.
Umeumia mwiko nyuma jikaze sio kosa letu nyie kutofuzu robo fainali
1000247223.jpg
 
Back
Top Bottom