FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Haya makolo mkalale mapema
GYvc-33W0AAViLz.jpg
 
Ni aibu kwa Yanga kushindwa kuifunga Pamba mabao zaidi ya 3
 
Igweeeeeeeeeee madunduka wanaweza wasiingize timu. Msimu huu wetu, wajaribu labda ujao 💛💚
Msimu wenu baada ya hersi kwenda pangani kufanya ulozi wa derby
Mwiko nyuma mnafurahisha sana 🤣
 
Attachments

  • sportshqtz_20250226__1894812033662472361_1_18948119736630272000.mp4
    1,017.7 KB
Huu umbumbumbu wa makolo unatia kinyaaa Azam anadhamini timu zote za ligi kuu ila hakuna lawama Kwa vile Azam haleti ushindani ila GSM anaye dhamini timu 7 imekuwa anaharibu ligi.
 
Mbona ushindani anaupata azam fc hatuoni kama mnavyopewa magoli ya mbeleko kingine azam media imedhamini uonyeshaji wa mechi zote live na hakuna timu ambayo jezi yake ina badge ya azam media tofauti na gsm na matawi yake kuanzia pamba jiji mpaka namungo
 
Attachments

  • Salim Abdallah Muhene Try again - TFF na wengineo ... Tuzingatie haya. Wahusika pia hongera ml...mp4
    749.6 KB
Back
Top Bottom