Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Baada ya kuwa timu ya kwanza kabisa kuifunga Ujerumani kwa mikwaju ya penalti katika historia ya Kombe la Dunia, sasa Paraguay inakabiliwa na nafasi ya kutinga robo fainali ikiwa itaweza kuwaondoa mabingwa wanaopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, Ufaransa, katika mchezo utakaopigwa jijini Philadelphia.