Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Ni kibu Denis ndio Katia iyo kambaThubutu
Kuwa na heshima mdogo wangu, sio kwa sababu nimemsifia ndo uanze kuvuka mipaka..Mayele= mugalu + boco + kagere + kibu + morison + banda + sakho
Mkuu kamati ya mashindano ya Yanga inaongozwa na Seif Magari na Bin Cleb.Hata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.
Sema lewandoski mjanja Sana
Kaja bongo anajiita mayele
Sema lewandoski mjanja Sana
Kaja bongo anajiita mayele
Mayele= mugalu + boco + kagere + kibu + morison + banda + sakho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepanic kolo mwenzanguKuwa na heshima mdogo wangu, sio kwa sababu nimemsifia ndo uanze kuvuka mipaka..
Sawasawa endelea kusubiri ndege feri.Hata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.