FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Hata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.
Mkuu kamati ya mashindano ya Yanga inaongozwa na Seif Magari na Bin Cleb.
Kama huwajui Hawa watu basi ulizia vizuri.
Mimi siku niliposkia haww miamba wamerudi ulingoni, nikajua Simba hawawezi kutoboa. Huo ndo ukweli utake ustake.
Hivi hujashtuka yaliyokuwa yanawatokea Yanga kipindi hiki msimu uliopita ndo yanawatokea Simba. Unadhani bahati mbaya mkuu?
 
Kuwa na heshima mdogo wangu, sio kwa sababu nimemsifia ndo uanze kuvuka mipaka..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepanic kolo mwenzangu
JamiiForums-495842656.jpg
 
Kocha wa viung wa yanga bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom