Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jan 24, 2022 #301 joseph1989 said: Endelee kumia safari hii mtazidi kuumia ila ngoma unayeya hata baba yenu TFF akiwatengenezea viporo ili mvinunue vizuri,so kila mtu ashinde mechi zake,endeleea kukalili na timu yako ya maveterani. Click to expand... Msimu huu viporo hakuna ndiyo maana wamechanganyikiwa
joseph1989 said: Endelee kumia safari hii mtazidi kuumia ila ngoma unayeya hata baba yenu TFF akiwatengenezea viporo ili mvinunue vizuri,so kila mtu ashinde mechi zake,endeleea kukalili na timu yako ya maveterani. Click to expand... Msimu huu viporo hakuna ndiyo maana wamechanganyikiwa
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jan 24, 2022 #302 Chukwu emeka said: Wengi wanaopiga kelele hawajui moto mtu akiwa kashatoa mpaka jasho la chumvi Click to expand... Ndio maana tunasema wacheze kwanza mpira ndio watajua inakuwaje..
Chukwu emeka said: Wengi wanaopiga kelele hawajui moto mtu akiwa kashatoa mpaka jasho la chumvi Click to expand... Ndio maana tunasema wacheze kwanza mpira ndio watajua inakuwaje..