FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

ukiona vyura wanapga kelele ovyo, ujue madimbwi yamejaa maji, msifurahi sana, maana misimu yote tulochukua ubingwa, tuliwatanguliza kama sasa.
 
Hata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.
Mkuu tafadhari tunaomba uamke toka usingizini maana ukiendelea kulala kwenye huo usingizi mzito utaratibu hali ya godoro.
 
Mkuu mm naipenda Yanga ila kiukweli hakucheza fair kabisa. Ni kadi nyekundu halali.
Ila na yule mchezeji wa Polisi naye alizingua. Alimkanyaga Djuma Shaban kwa makusudi kabisa mguuni huku akiwa hana mpira. Ile nayo siyo fair play.

Binafsi nikiwa kama mchezaji mstaafu wa mpira wa miguu na kocha mchezaji, niko upande wa Djuma Shabani! Lakini pia nilifurahishwa na mshika kibendera kwa kumpuuzia yule mchezaji. Huwezi kumtafutia mwenzako kadi nyekundu kwa makusudi kiasi kile.

Na naamini hata Kamati ya masaa 72 italipotezea hili tukio , kama walivyo potezea waamuzi.
 
Ila na yule mchezeji wa Polisi naye alizingua. Alimkanyaga Djuma Shaban kwa makusudi kabisa mguuni huku akiwa hana mpira.

Binafsi nikiwa kama mchezaji mstaafu wa mpira wa miguu na kocha mchezaji, niko upande wa Djuma Shabani! Lakini pia nilifurahishwa na mshika kibendera kwa kumpuuzia yule mchezaji. Huwezi kumtafutia mwenzako kadi nyekundu kwa makusudi kiasi kile.
Miaka ya nyuma kuna jamaa aliwai kunichezea faulo ya kibwege timu ya mtaani.
Alikua anakaa mbele yangu ananipa mgongo alafu ananikanyaga kwa kisigino chake,ukipigwa mpira wa juu siruki wala sitoki pale nilipo,keshanibana na mguu wake kwa kunikanyaga,refa awezi kuona kwasababu yeye mcheza faulo yupo mbele yangu.

Kafanya kama marambili hivi ya tatu nilimpa kiwiko cha uso nikampasua,zikatokea vurugu kikanuka na mpira wenyewe ukaishia hapo hapo.

Kuna faulo mtani ni za kuudhi kama hii aliyofanyiwa Djuma Shaaban zinaamsha hisia kali kiasi cha ku-loose control.
 
ukiona vyura wanapga kelele ovyo, ujue madimbwi yamejaa maji, msifurahi sana, maana misimu yote tulochukua ubingwa, tuliwatanguliza kama sasa.
Endelee kumia safari hii mtazidi kuumia ila ngoma unayeya hata baba yenu TFF akiwatengenezea viporo ili mvinunue vizuri,so kila mtu ashinde mechi zake,endeleea kukalili na timu yako ya maveterani.
 
Back
Top Bottom