Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wamesahau walikuwa wa viporo mechi 6 au 8 kabisa na hawakumbuki kuwa idadi ya mechi msimu huu ni chache.Points tatu zingine kibindoni.
Wale wanaoota kwamba hata mwaka jana ilikuwa hivi waendelee tu sisi tunasonga mbele.