FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Ila police hamna kitu pia.Hawajaonesha upinzani na hawajawapa Yanga changamoto yoyote kabisaaaa
Ni nani msimu huu kidogo kaonesha kumpa tabu yanga

Kuna watu wamesalimika kufungwa na yanga Hadi leo wanashangilia hawaamini

kwA yanga hii mtamlaumu kila timu Hadi timu y'ako utailaumu tu.
 
Ni Kama lile guu la Kenedy Juma alilo mkita mchezaji wa biashara bila mpira na hakupewa red card.
 
Back
Top Bottom