FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Polisi Tanzania haijawahi kuifunga Yanga tangu ipande daraja lakini Yanga pia haijawahi kupata ushindi ugenini dhidi ya Polisi Tanzania kwenye ligi kuu tangu Polisi wapande daraja msimu wa 2019/20.

Je, ni rekodi gani mpya tutaishuhudia leo timu hizi zinapokutana?


Mechi ni saa 10:00 jioni

LIVE JF

KIKOSI CHA YANGA View attachment 2092741

KIKOSI CHA POLISI TANZANIA

View attachment 2092779

16:00

Vikosi Vyote Vipo Uwanjani Lakini Mchezo bado haujaanza kutokana na Marekebisho ya Nyavu za Golini Baada ya Refferee wasaidizi kukagua nakuona Haziko sawa

00” Mpira umekwisha Kuanza hapa

05” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

10” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

12” Yanga Sc Wanapata Free kick

13” Yanga Sc Wanapata Kona

15” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

16” Polisi Tz (Vitalis) Offside

20” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

25” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

30” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

31” Yanga Sc Offiside (Mayele)

32” Yanga Sc Wanapata Kona Upande Wa Kushoto

35” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

37” Polisi Tz Wanapata Kona

40” Polisi Tz Offiside

40” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

45” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

45” Aucho Anaoneshwa kadi Ya Njano

Dakika 1 ya Nyongeza Kabla Ya Kipindi cha Kwanza Kumalizika

45” + 1 Polisi Tanzania Wanapata Kona

Mpira ni Mapumziko Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

Kipindu Cha Pili Kimeanza

50” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

55” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

60” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0
Barabaraaaaa Ambundoooooooo
 
Mayele bhana! Yaani utamkaba weee!! Akipata nafasi moja tu... Goli!!!

What an assist from Mayele to Dickson Ambundo....!!! What a goal!!!

Profesa Nabi, mtoe Moloko sasa ili aingie Chico Ushindi! Na ngushi naye aingie ili tuumalize mchezo mapema.
 
Back
Top Bottom