Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kafunga nani?Moja lijengwe pale msimbazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafunga nani?Moja lijengwe pale msimbazi
Hakika.Moja lijengwe pale msimbazi
MayeleKafunga nani?
Hata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.C'mooon Dar Young Africans..The gap must be huge kati ya sisi na makolo.
Ambundo assist ikifanywa na MayeleKafunga nani?
ThubutuMayele
Waache wajisahauHata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.
Labda kama na yeye ataanza kufuga rasta, watafanana!! 😬😬😬Kuna watu wakawa wanamfananisha na kibu D hahahaha
HahahahahaLabda kama na yeye ataanza kufuga rasta, watafanana!! 😬😬😬
Mayele= mugalu + boco + kagere + kibu + morison + banda + sakhoItoshe tu kusema kwamba, mayele ndio straika hatari zaidi afrika mashariki na kati, hongereni sana yanga. [emoji91][emoji91]
We dada hivi nawewe unaimani Yanga hii ni kama ya miaka ya minne nyuma? Na Simba hii ni ileile ya miaka minne nyuma? Acha kukariri maishaHata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.