FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

ushauri:mashabiki wa simba tuache kumpa presha kocha.phiri ni mchezaji wetu.kocha anapomuweka bench uwa anajua.pata picha baleke angeanza dakika ya kwanza.?tumuache kocha afanye kaz yake
 
Hii timu ni nzuri sanaaaaa na hatari sanaaaa kama wakiwa na ONE SPIRIT na wachezaji wakiambiwa waifie timu na kupamba. Ila hii ya kimazoea na kifaza itaigharimu Simba.

Wachukue hatua haraka sana
Kama yule shotii namba 7 ni mzuri sana.Anaonekana ni mpambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…