Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Tatizo ni Chamazi, sio kwa MkapaWaje kwa MKAPA full house... watapoteana sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni Chamazi, sio kwa MkapaWaje kwa MKAPA full house... watapoteana sana...
Ewaaaa.... tatz kocha wetu nae kama Ana Mashetani ataanza Kibu na BokoHicho kikosi cha pili ndicho kinatakiwa kuanza
Umeme wa kazi gani sasa kwa Mashabiki wa Mikia? Huku Yanga bado upoHuyu fala baada ya filimbi tu kakata umeme
Kipa unamlaumu bure tuDaaah bora,game nzuri ila tumefanya uzembe kipa na Baleke nawalaumu sana
True. Tunataka magoliSuala si bahati suala hayupo serious. Mbona Chama anatulia na afanya mambo.
Baada ya Simba kupigwa goli la pili wachezaji wenzake na Kocha wakawa wamwambia aache ufala watu wanataka magoli.
Kama yule shotii namba 7 ni mzuri sana.Anaonekana ni mpambanaji.Hii timu ni nzuri sanaaaaa na hatari sanaaaa kama wakiwa na ONE SPIRIT na wachezaji wakiambiwa waifie timu na kupamba. Ila hii ya kimazoea na kifaza itaigharimu Simba.
Wachukue hatua haraka sana
Fala sanaa yule anacheza mpira kama wa Man U bhana!! Ijapokuwa ni timu yangu!Kazingua mno yani nimemaindi
Daaah ila hamn noma tutapambanaTatizo ni Chamazi, sio kwa Mkapa
Waje kichwa kichwa wakutane na pumzi ya motoMatokeo si mabaya, ila jamaa watakuja Dar wakiwa hawana cha kupoteza hivyo kuwa hatari zaidi
Nyie mbwa si mna UZI wenu kule umedoda? Mnakuja kushobokea watu tupo ktk Vikao vyetu tunatathmin hawa Pawa Dainamo tuwafanyaje wakija Mjini DaslamuPira papatu papatu 😅😅
Hizo nafasi alizopata Baleke Phiri asingekosa. Kwa hiyo hamna faida. Kocha hatuna. Periodushauri:mashabiki wa simba tuache kumpa presha kocha.phiri ni mchezaji wetu.kocha anapomuweka bench uwa anajua.pata picha baleke angeanza dakika ya kwanza.?tumuache kocha afanye kaz yake
Kwa mkapa umepafungua lini?Waje kwa MKAPA full house... watapoteana sana...
Zingepasuka tu vidume warith mkeoSimba leo imenifanya nikabana mbupu zaku sana
Unawashwa ki...smi nikukojozee?Nyie mbwa si mna UZI wenu kule umedoda? Mnakuja kushobokea watu tupo ktk Vikao vyetu tunatathmin hawa Pawa Dainamo tuwafanyaje wakija Mjini Daslamu
Chama katutoa kimasomaso[emoji106][emoji106]
ComplexKwa mkapa umepafungua lini?