King Mswat 11
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 207
- 319
Mi sijui watu hawaoni au wanajizima data.Kaka ukiangalia vyema huu Mpira umedunda hivyo alikosea timing hii makipa wengi wamefungwa
Nimeliona aiseee ana kipaji cha kufoakast 😀 😀 😀Angalia goli la 2 utajua kwa nini huyu jamaa ni mwamba
Kwa Balehe ni bahati mbaya leo alikosa kabisa utulivu, lakini kipa huyu hafai!!Daaah bora,game nzuri ila tumefanya uzembe kipa na Baleke nawalaumu sana
Chama huwa anaamua mechi haswa kwenye mechi zenye kuamua hatma ya timu refer Simba vs Nkana fc pia Simba vs As vita na leo so ni mchezaji mhimu sana kikosinAngalia goli la 2 utajua kwa nini huyu jamaa ni mwamba
shida ni kocha. angekuwepo kocha mhamasishaji kama yule mzuzu kidevu, wangefika mbali sana.Hivi Simba shida ni kocha au wachezaji.Je wameridhika kuwa washiriki wasiopiga hatua moja mbele.?.
Ukweli 'board' ya ligi ndo wamesababisha yote haya.Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Hamna kipa pale!!Ila kipa amejitahidi sio mbaya
Ifike Muda muwe mnakubali madhaifu siyo dhambi.Huu ni mpira wa kiume kule kwingine magoli mapesi sanaa
Hata 1-1 Simba inasonga mbele!Kwahiyo hapa Simba anahitaji sare ya 0-0 ili afuzu?
Mimi siyo chura, siyo mkia, siyo lambalamba.Nilijua wewe ni mkia....aisee kama ni TAIFA stars umechagua fungu jema
Hao jamaa wako level moja na simba kisoka, maana tunaamishwa kuwa simba ni level kubwa barani Afrika.Chama huwa anaamua mechi haswa kwenye mechi zenye kuamua hatma ya timu refer Simba vs Nkana fc pia Simba vs As vita na leo so ni mchezaji mhimu sana kikosin
bibi kizee naye huwaga anaangalia mpira kumbe, kabla ya kufukiza udi.Mimi siyo chura, siyo mkia, siyo lambalamba.
Mimi Taifa Stars.
Nawapongeza wote leo, Yanga na Simba kwa matokeo mazuri.
Chama huwa anaamua mechi haswa kwenye mechi zenye kuamua hatma ya timu refer Simba vs Nkana fc pia Simba vs As vita na leo so ni mchezaji mhimu sana kikosini
Halafu kuna vijitu vya upande wa pili vinakwambia Chama konokono, sijui Chama nini nini. Unavichekiiiii unasema hivi walishafanya rejea ya game zote za Champions League alizocheza Chama tangu atue Msimbazi?Chama huwa anaamua mechi haswa kwenye mechi zenye kuamua hatma ya timu refer Simba vs Nkana fc pia Simba vs As vita na leo so ni mchezaji mhimu sana kikosin
Nimeanza kuangalia mpira hata baba'ko na mama'ko hawajaanza kukutafuta.bibi kizee naye huwaga anaangalia mpira kumbe, kabla ya kufukiza udi.
Poor analysis..Nimeanza kumwelewa kocha kwanini huwa anamuweka Phiri nje, Huyu jamaa kiwango chake kimeshuka sana na sioni dalili ya improvement kwake.
Alafu shida nyingine kubwa kwa timu yetu ni beki za pembeni, Tshabalala na Kapombe, Hawa jamaa washachoka sana hususan Tshabalala, watafutiwe mbadala.
Ushauri: Kocha amwamini Israel Mwenda kwa huku Duchu akiendelea kuimarishwa zaidi. Mwenda ni mzuri mno , ana nguvu, pumzi na anajua kupress..Kocha amwamini ampange.