FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Alamsiki tukutane wakati mwingine.....
Simba nguvu moyaaa....
 
Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.

Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664

Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA

Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri

Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv

Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Ukweli 'board' ya ligi ndo wamesababisha yote haya.
Simba walikaa zaidi ya wiki bila mechi ya ushindani na waliomba kucheza mechi ya ligi lakini wakakataliwa
 
Chama huwa anaamua mechi haswa kwenye mechi zenye kuamua hatma ya timu refer Simba vs Nkana fc pia Simba vs As vita na leo so ni mchezaji mhimu sana kikosini

Chama huwa anaamua mechi haswa kwenye mechi zenye kuamua hatma ya timu refer Simba vs Nkana fc pia Simba vs As vita na leo so ni mchezaji mhimu sana kikosin
Halafu kuna vijitu vya upande wa pili vinakwambia Chama konokono, sijui Chama nini nini. Unavichekiiiii unasema hivi walishafanya rejea ya game zote za Champions League alizocheza Chama tangu atue Msimbazi?
 
Nimeanza kumwelewa kocha kwanini huwa anamuweka Phiri nje, Huyu jamaa kiwango chake kimeshuka sana na sioni dalili ya improvement kwake.

Alafu shida nyingine kubwa kwa timu yetu ni beki za pembeni, Tshabalala na Kapombe, Hawa jamaa washachoka sana hususan Tshabalala, watafutiwe mbadala.

Ushauri: Kocha amwamini Israel Mwenda kwa huku Duchu akiendelea kuimarishwa zaidi. Mwenda ni mzuri mno , ana nguvu, pumzi na anajua kupress..Kocha amwamini ampange.
 
Poor analysis..

Ningekuelewa kama ungesema icho kigenge Cha wanywa kahawa kifanyiwe total oval haul.
 
Screenshot_20230916_192956_Instagram.jpg

Sijui kwa nini beki ya Simba ilichagua kunyamaza badala ya kumgasi refa
 
Back
Top Bottom