Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ngoja tuone baadaePower lazima waishiwe power
Leo timu zote za tanzania zitashinda goli nyingi sanaUnyama mwingi leo [emoji881]
SIMBA 0-POWER DYNAMO 3, MPIRA UMEISHA HAPA KAITIKA DIMBA LA LEVY MWANAWASA MJINI NDOLANenda Simba Nenda Sisi Zetu Dua , Sisi tuko nyuma yako daima [emoji123][emoji123][emoji123]
Mbona unahangaika hivyo unataka kutaga?Baadae mnakufa kibudu
Uzi unaihusu simba na Dynamos halafu unaitaja Yanga,bila shaka walimu wako walikuwa na kazi ya ziadaYanga kuna kitu kizito mnoo kina kwenda kuwaangukia TUNZENI HII COMMENT
Wakishinda hao uwatajao nakuomba leo tukutane Kidimbwi nina jambo langu kaka mkubwa .Kila la kheri Pawa dainamos hapo mwanawasa
Soma viewers kwa nyuzi zote ndo utajua kwenu pamedoda bwashee 😂Ngojeni kwanza tuwatie nguvu. Maana huu uzi wenu umepooza mpaka basi.