FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.

Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664

Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA

Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri

Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv

Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Oyooooooooooooo!!!
mnyama mnyama
 
Mbona huja update kikosi mkuu.
 
simbasctanzania-20230916-0002.jpg
 
😊 bwana weee....hebu rudi kwenye sredi lako au unataka nije huko kwenu tuwakere kidogo...yani Uto bila sisi mnakua kama uji wa mgonjwa
Sredi yao imedoda njaa kali kule, muache ajifariji hapa kwa Sredi ya unyama mwingi 😂
 
Mechi hii utanipa kipimo halisi cha yale maandalizi aliyoyafanya kocha kwa ajili ya kutafuta chemistry
 
Naaaam mpira umeanza

Simba inapeleka mashambulizi kusini wakati Power Dynamo inapeleka kaskazini
 
7'

Power Dynamo wanapata kona ya kwanza

Inapigwa cross ndefu mpira unakuwa mwingi unatoka nje na kuwa goal kick
 
Power Dynamo wanafanya mashambulizi kadhaa hapa kwenye lango la Simba lakini umakini unakuwa mkubwa na kuzuia
 
Back
Top Bottom