El Merrick sio ya kuipigia mahesabu sanaYanga kuna kitu kizito mnoo kina kwenda kuwaangukia TUNZENI HII COMMENT
Yanga pia mbovu mkuuEl Merrick sio ya kuipigia mahesabu sana
Oyooooooooooooo!!!Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Mbona huja update kikosi mkuu.Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Benchi iko vizuri sana. Siyo kama mwaka Jana.
Sredi yao imedoda njaa kali kule, muache ajifariji hapa kwa Sredi ya unyama mwingi 😂😊 bwana weee....hebu rudi kwenye sredi lako au unataka nije huko kwenu tuwakere kidogo...yani Uto bila sisi mnakua kama uji wa mgonjwa