Mmeanza visingizioKheee.uwanja una mashimo huu
Kwani kwenu kuna hali gani huko?.Mmeanza visingizio
Ni Uto OgKwani ni timu gani yeye...
Ni ccm kumbe...Ni Uto Og
Na kule nimewaambia hivyo hivyo.Kuna ka sredi kenu kule kamepoa, ukwende huko ukangamshe.
Bwege MWOGA.Na kule nimewaambia hivyo hivyo.
Mimi Taifa Stars.
Shikamoo 😂Na kule nimewaambia hivyo hivyo.
Mimi Taifa Stars.
Sure mcheza kwaoHawa jamaa leo wako moto hatari.Wamekuja kivingine.Simba wawe na tahadhari.