Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Matokeo mazuri sana ugeniniKwa mbinde mamaeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo mazuri sana ugeniniKwa mbinde mamaeee
Mamamaeeee bora umeisha sioDaaah bora,game nzuri ila tumefanya uzembe kipa na Baleke nawalaumu sana
Hii mechi Simba tulitakiwa tushinde goli 3 ila Baleko fala sanaa!Bado dakika 3
Ni halali chama awasumbue simba.wampe heshima yake.Kazi yake inaonekana bila majungu wala mbwembwe za chawa wakumpamba.Mzungu aondoke Chama awe kocha
Bahati haikuwa yake tu. Ila kacheza vizuri.Hii mechi Simba tulitakiwa tushinde goli 3 ila Baleko fala sanaa!
Nafasi 3 za wazi anakosa fala yulee!
KabisaaaBaleke hii mechi tukifungwa awajibike
Alafu katk Ardhi ya KWAOChama katutoa kimasomaso[emoji106][emoji106]
Kazingua mno yani nimemaindiHii mechi Simba tulitakiwa tushinde goli 3 ila Baleko fala sanaa!
Nafasi 3 za wazi anakosa fala yulee!
Suala si bahati suala hayupo serious. Mbona Chama anatulia na afanya mambo.Bahati haikuwa yake tu. Ila kacheza vizuri.
Hicho kikosi cha pili ndicho kinatakiwa kuanzaHii Mechi ilikuwa tamu.. kipindi cha pili Simba sijui walikunywa VIAGRA maana sio kwa kupeleka moto vile