Wote wale wale
Pawa dainamo na mereikh Nani butu, au unajisahaulisha
Na El Merrick sio kama ni bora zaidi kuliko Power Dynamo.
Power Dynamo sio kama ni wabovu sana, hapana.
Mimi sijaangalia mpira wenu
Ila inawezekana El Merrick hii mliyocheza nayo leo mngecheza nayo ikiwa kwao, mechi isingekuwa rahisi.
Na ndio maana hata hawa Power Dynamo sio kama nawa underrate ila kuna kiasi cha favor wamekipata walipokuwa nyumbani.
El Merrick ni bora katika rekodi za ushiriki wa michuano ya CAF kwa factor ya kukusanya point zinazomfanya ajiweke kwenye rank za juu katika takwimu.
Ila ubora ule uliotumika kushika nafasi za juu kwenye rank za CAF lazima tuongee ukweli kuwa saizi haupo.
Ni sawa na Tp Mazembe, katika rank za CAF ipo juu.
Lakini ukiangalia currently quality haipo. Walioifanya Mazembe iwe level za juu sio ambao wapo, waliopo ni wabovu.
Kwa hiyo tujaji ubora kwa kuangalia Quality players na performance inayotolewa kuliko kuangalia takwimu.
Kama ni kuangalia rank upo sahihi El Merrick wapo juu