Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hivi lile goli dynamo wamepiga mpira ukiwa nje, hawawezi kukata rufaa likafutwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi lile goli dynamo wamepiga mpira ukiwa nje, hawawezi kukata rufaa likafutwa?
vyvyote itakavyokuwa, wakija bongo wale watachapwa sana.Uliangalia kombe la dunia mwaka jana ili mpila utoke unatakiwa utoke wote kabisa
Yeaha watakula goli tano huu mwaka simba na yanga zote zinacheza makundi club bingwa🔥🔥vyvyote itakavyokuwa, wakija bongo wale watachapwa sana.
Mama'ko anawashwa nini makalio? Mkune kidogo, labda baba'ko hawezi tena kukuna.sasa mamangu wa nini? au hata nikija kuongea na wewe kiutu uzima lazima nimhusishe na maza? dawa yako wewe ndogo sana, ni kiukutafuta tumalizane kiutu uzima, pengine unawashwa kizeezee, badala ya kumwambia babu akusaidie unatafuta vijana.
Ana hasira ya kukosa ushindi huyo.Hii vita yenu kalii sana 🔥🔥🔥🔥😁😂😂
Roho inamuuma itakuwa ana ashk majinun huyo😁😂Ana hasira ya kukosa ushindi huyo.
Betting hiyo. Ukiona mtu ana hasira za kijinga ujuwe kishaliwa vipesa vyake vya ngama kwenye betting.Roho inamuuma itakuwa ana ashk majinun huyo😁😂
Hana akili achana nae huyo ndo vijana wa hovyo hawaBetting hiyo. Ukiona mtu ana hasira za kijinga ujuwe kishaliwa vipesa vyake vya ngama kwenye betting.
Mkuu we acha tu hao ndo watanzania kila kitu wao wanajua yaniHalafu kuna vijitu vya upande wa pili vinakwambia Chama konokono, sijui Chama nini nini. Unavichekiiiii unasema hivi walishafanya rejea ya game zote za Champions League alizocheza Chama tangu atue Msimbazi?
Ila we mother hayo maneno ya kihun unayatolea wapi aisee au makaz yako yapo karibu na vijiwe vya madunga embe nini mana duuuBetting hiyo. Ukiona mtu ana hasira za kijinga ujuwe kishaliwa vipesa vyake vya ngama kwenye betting.
Hujatoa hoja badala yake umetoa vijembe .Poor analysis..
Ningekuelewa kama ungesema icho kigenge Cha wanywa kahawa kifanyiwe total oval haul.
Kwani kinachotafutwa ni ushindi au laking mbona mnakuwa kama Watson na nyie!!Ipo Namba 27 kwenye official CAF ranking
Mpinzani wako hata 70 Bora hayupo
Ukibisha nakuwekea screenshot
Always mnapewa Vimeo tu
Nyasa big bullets
Primera de agosto
Hawana utofauti na zalan,UD songo
Nimejua sasa simba kikosi chenu kibovu
Aahaaaaa,kwahiyo tumecheza na kibonde?Na El Merrick sio kama ni bora zaidi kuliko Power Dynamo.
Power Dynamo sio kama ni wabovu sana, hapana.
Mimi sijaangalia mpira wenu
Ila inawezekana El Merrick hii mliyocheza nayo leo mngecheza nayo ikiwa kwao, mechi isingekuwa rahisi.
Na ndio maana hata hawa Power Dynamo sio kama nawa underrate ila kuna kiasi cha favor wamekipata walipokuwa nyumbani.
El Merrick ni bora katika rekodi za ushiriki wa michuano ya CAF kwa factor ya kukusanya point zinazomfanya ajiweke kwenye rank za juu katika takwimu.
Ila ubora ule uliotumika kushika nafasi za juu kwenye rank za CAF lazima tuongee ukweli kuwa saizi haupo.
Ni sawa na Tp Mazembe, katika rank za CAF ipo juu.
Lakini ukiangalia currently quality haipo. Walioifanya Mazembe iwe level za juu sio ambao wapo, waliopo ni wabovu.
Kwa hiyo tujaji ubora kwa kuangalia Quality players na performance inayotolewa kuliko kuangalia takwimu.
Kama ni kuangalia rank upo sahihi El Merrick wapo juu
Mimi na wewe tumeliona hili. Kama zimbwe novyo hovyo kabsIla lazima tutafute mabeki wa pembeni. Zimbwe na Kapombe sio wale tena.
hivi lile goli dynamo wamepiga mpira ukiwa nje, hawawezi kukata rufaa likafutwa?