FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Katika mchezo wa Simba dhidi ya Dynamo, mchambuzi wa mechi alitathimini na kugundua viwango vya wachezaji nilikuwa kama ifuatavyo.

Uwezo wa Golikipa Ayoub Mwarabu ulikuwa ni 40% ya matarajio yaliyohitajika
Beki Kapombe matarajio 43%
Beki Muhammed Hussein 51%
Beki Innonga Baka 90%
Beki Che Mallone 92%
Mido Kanoutte 45
Mido Mzamiru a.k.a Punda 93%
Winga Moses Phili 41%
Willy Onana 50%
Clatus Chota Chama 95%
Kibudenis a.k.a. mpondaji 94%

Sub:
Fabris Ngoma 96%
Luis Miquessone 65%
Saido ntibayonkiza 55%
John Bocco 61%
Jean Balleke 91%

Maoni.
Kipindi cha kwanza baadhi ya wachezaji wa Simba walicheza kwa kuto kujituma.

Wachezaji wengi walioingia kipindi cha pili kwa Sub, walionesha mchezo mzuri hadi kufikia kupata goli zote mbili.
Wachezaji waliocheza chino ya kiwango cha asilimia 90 cha matarajio walifaa kuanzia Benchi. Na wanatakiwa kufanyia kazi mapungufu yao.
Mabeki vijana kama Hussein Kazi na Israeli Mwenda wanatakiwa kuanza kuaminiwa na Kocha.
Kipa Ayoub Lakred anapaswa kujirekebishwa la makipa wengine kama Hussein Abel waanze kupewa nafasi.

Nawasilisha sehemu ya kwanza ya mchezo wa uwanjani.
 
Nyie mbwa si mna UZI wenu kule umedoda? Mnakuja kushobokea watu tupo ktk Vikao vyetu tunatathmin hawa Pawa Dainamo tuwafanyaje wakija Mjini Daslamu
Haaaa vikao virefu kama vya vikoba, any way Sasi shughuli imeisha na kikao tumefungu
 
Back
Top Bottom