Mbona lapili ni Mkude na la3 kagere auWafungaji Simba SC
Phiri
Banda
Mkude
Sakho
Sakho
Nyoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh sanaaa.Hizo emoji za Simba SC zingekaa sita kama yalivyo mabao..!
Kwenye list ya wafungaj umedanganyaKlabu ya Simba imejitupa uwanjani hii leo kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly match) dhidi ya Al Akhaood Club, ambapo matokeo ni kuwa Simba SC imeibuka na ushindi mnono wa mabao sita kwa bila.
Wafungaji Simba SC.
Moses Phiri
Peter Banda
Jonas Mkude
Pape Sakho
Pape Sakho
Erasto Nyoni
View attachment 2301631
Mkuu usihangaike bila sababu chukua hii na baki na hii hapa Simba SC Vs Akhaood ClubIla hapa naona kama simba wanatakiwa watuweke sawa. Kwa mtazamo wangu na nilichokiona ni kwamba ahmed ally yey amepost tumecheza na abo hamad ya misr na huku page ya simba imepost al akhood.
Hiv hii ni tmu moja ina majina tofaut au ni vip na ukiangalia hyo al akhood ni ya saud arabia au misr pia ipo?
NB. Mkaangalie kwanza kweny post zao mjiridhishe
Mkuu usihangaike bila sababu chukua hii na baki na hii hapa Simba SC Vs Akhaood ClubView attachment 2301732