Hao ni madereva wa bodaboda wa Cairo.Utopolo watakuja hapa kusema mnyama kacheza na wauza mihogo wa misri.
SIMBA NGUVU MOJA
Tufanye daraja la 7 kabisaMbona hamsemi kuwa timu pinzani ni ya daraja la tatu?
Walivyo wajinga siku ya game kuna picha ya nyota wa goli bora la CAF Sakho ilhali yeye alikuwa Rabat nchini Morocco.Wiki moja, game moja, utopolo wasije na ule utopolo wao wa Simba SC imefungwa 12-0!
Hii nimekumbuka ishu moja wakati niko O-level kuna jamaa walikuwa wanaishi gheto kwa ajili ya kupiga msuli, baadae wakawekeana utaratibu wakutungiana mitihani.Klabu ya Simba imejitupa uwanjani hii leo kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly match) dhidi ya Al Akhaood Club, ambapo matokeo ni kuwa Simba SC imeibuka na ushindi mnono wa mabao sita kwa bila.
Huu ni mchezo wa pili kwa Simba baada ya kutanguliwa na ule wa Ismailia SC ambao matokeo yalikuwa ni kutoshana nguvu kwa sare ya bao moja kwa moja, ambapo bao la Simba likifungwa na Nyota Augustine Okrah.
Kwenye mchezo wa leo Julai 23, 2022 matokeo ni haya | FT: Simba SC 6-0 Al Akhaood Club.
Wafungaji Simba SC.
Moses Phiri
Jonas Mkude
Maddie kagere
Pape Sakho
Pape Sakho
Erasto Nyoni
View attachment 2301631
Ikiwa na bwalya wamevisha jezi namba 3Walivyo wajinga siku ya game kuna picha ya nyota wa goli bora la CAF Sakho ilhali yeye alikuwa Rabat nchini Morocco.
Yaani hata editing yao inakwenda kiutopolo topolo tu yaani.
habari zao zipoHabari zetu wao wanazo ila habari zao sisi hatuna. Ama kweli Simba SC ni Taifa Kubwa.