Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BILA SHAKA MTANINi kweli, muhimu kukutana kwenye msimu mpya kuona nani amejiandaa.
Yoote ni mazoezi tuu..
Aliburuza na magoti bila kujali visiki vya uwanja
Kambole kwa kufunga goli moja tayari mwenzetu kaishafunga mahesabu
Kila mwaka lazima atupie goli moja kwa hiyo huu mwaka hana deni tena