ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wewe ni miongoni mwa mashabiki wapumbavu timu gani ambayo haifungwi? ina maana hap GSM hela zao ni za kumwaga mwaga tu Yanga imechukua ubingwa tangu miaka ya 60's huko GSM alikuepo?Ujue kuna mkono wa gsm hapo maana timu anazozihofia anazifanyia umafia mkubwa sana.
Ile mechi angekuwa anacheza yanga lazima angepewa penalty 2.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app