FT: PSG 2-1 Aston Villa | UEFA Super Cup - Final | Red Bull Arena (Salzburg) | Agosti 12, 2026

FT: PSG 2-1 Aston Villa | UEFA Super Cup - Final | Red Bull Arena (Salzburg) | Agosti 12, 2026

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Paris Saint-Germain (PSG) na Aston Villa zinakutana katika fainali ya UEFA Super Cup 2026, mchezo unaowakutanisha mabingwa wa mashindano mawili makubwa ya Ulaya.

PSG wamefuzu kucheza mchezo huu baada ya kutwaa UEFA Champions League, wakati Aston Villa wamefika katika fainali hiyo baada ya kutwaa UEFA Europa League. Mchezo huo unachezwa katika Red Bull Arena, Salzburg, Austria, leo Jumatano, Agosti 12, 2026.

🏆 PSG: Mabingwa wa UEFA Champions League
🏆 Aston Villa: Mabingwa wa UEFA Europa League
 
Back
Top Bottom