FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
HT
0-0
Orlando 77% to win
Zbc live


Kipindi Cha pili kimeanza

==========================

RS Berkane yatwaa ubingwa kwa penati

RS Berkane ya Morocco imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwa penati 5-4 katika fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Godswill Jijini Uyo, Nigeria, usiku wa kuamkia leo Mei 22, 2022.

Hadi dakika 120 za muda wa maongezi zinakamilika matokeo yalikuwa bao 1-1.

Kabla ya fainali Orlando Pirates iliongoza Kundi B, ikaiondoa Simba katika Robo Fainali na kuifunga Al Ahli Tripoli mabao 2-1.

RS Berkane iliongoza Kundi D ikiwa pointi sawa na Simba, ikaiondoa Al Masry kwa faida ya bao la ugenini katika Robo Fainali, ikaifunga TP Mazembe 4-2 katika Nusu Fainali

Victorien Adebayor wa USGN amefanikiwa kuwa mfungaji bora baada ya kufunga mabao 6
 
Simba wanatisha aiseee ukiangalia hawajamaa wote wawil Yan mm nacheka maana nakula na safar lager kabisa
 
Hapa Kolowizard hawajui wakae upande gani
Ushaona makolo wanapagawa kwenye shughuli ambayo sio yao?

Hicho ni kitengo chenu UTOPOLO na hapo mpoa katika kitendawili mko njia panda mumshangilie nani na hizo zote ni timu zenu

Hizo team zote mlizkpokea wakati wa kuja, na mkazisusa wakati wa kuondoka.

Kweli upambe haulipi
 
Hapa Kolowizard hawajui wakae upande gani
Kwani na huku vyura bado mna timu mnaishabikia? I thought huwa mnashabikia wapinzani wa mnyama anapokuwa kwenye majukumu ya kimataifa tu maana sisi hatushabikii kilabu chochote zaidi ya chetu ambacho huwa kina fika hizo levels
 
Back
Top Bottom