FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

Binafsi Mimi Kama Mwananchi Namkubali Sana Kocha Wa Simba Juma Mgunda “Guardiola Mnene” Ni Bonge La Kocha Anajua Sana, Namuombea Sana Guardiola Mnene Endelee Kuwepo Kwenye Benchi La Simba Mpk Tar 23 Mwezi Huu ili Tumkande Vizuri Pale Kwa Mkapa [emoji41]
Tarehe 23 ndio Kipimo chake
 
Back
Top Bottom