Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwan kuna shindano lolote marefu wa nchi walichezesha mechi za nchi yao?Marefa watoke nje ya bara husa ulaya wakichezesha marefu wa Morocco 🇲🇦 hapo kutakuwa hkn mpira ni wizi tu
Weka wafungane tia kibundaHuyu khanji leo tumfanyeje
Watoke nje sio africaKwan kuna shindano lolote marefu wa nchi walichezesha mechi za nchi
Hujajibu swali languWatoke nje sio africa
Morocco wapigaji hao hawaaminiki ninauhakika hadi sasa wameshafanya mawasiliano na marefa wanaochezesha lkn pia senegal wamelalamikia huduma mbaya hizi zote ni mipango ya kuifelisha senegal.Hujajibu swali langu
Anyway, Kwann watoke nje ya Afrika?
Kwann hiyo misingi mnayoiona kwa hao mnaowataka Waje msiweke Hiyo misingi kwa watu wenu wa ndani?
Poa nikishinda tu pweza watakomaWeka wafungane tia kibunda
Mo salah kashafeli asitafu tu soka bila afcon hata mojaNipo na senegal jana nilikuwa na nigeria mkeka ukatik!
Bado pika kwanzaUpdates?