Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Anafanya game management ya kuwapa morocco advantages kadiri inavyowezekana.Huyu refa niliyekuwa namheshimu sana, Jean Jacques Ndala, haoni faulo wanazofanyiwa Senegal?
Ndiyo maana kuna mdau alipendekeza marefa kutoka nje ya afrika, wachezeshe hii michuano. Hasa hizi hatua za mtoano.