NdioHuyu jamaa aliyefungwa kitambaa cheupe na kurudi uwanjani ndie aliyepasuka kichwa au ?
Lazima watz wajifunze kwa hao raia wanajua soka balaaGame kali
Afu walitaka wapewe penati dhidi morocco.Lazima watz wajifunze kwa hao raia wanajua soka balaa
DaaahTayari tumeshauzwa blacks daah inatafutwa penati hapa