FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

AFCON hii ya Kis#nge mwenyeji mechi mbili anabebwa,Ashraf Hakim kakabia macho eti faulo us#n£ng£ mwingi sana.

Ukiuliza unambiwa mwenyeji,Brazil alikula saba na Germany nyumbani kwake yy akiwa mwenyeji,kombe la dunia.
 
Safi kocha wa Senegal
Mwamba sana
Siyo kama sisi Mazombie tulifanyiwa wizi na tukakubali tu
Sasa wanasusa nini wakati hiyo inastahili kuwa penalty kabisa? Labda kosa la Referee ni kupotezea kosa flani la mchezaji wa Senegal kusukumwa na hakuenda kwenye VAR
 
Watu weusi mna matatizo mengi sana lakini kikubwa hampendani ninyi kwa ninyi....Referee hakuwa upande wa watu weusi
 
Sijawahi kuona kitu kama hiki kwenye historia ya mpira. Timu kususa.

Senegal itafungiwa muda mrefu sana hata huenda wakafungiwa kwenda world cup.

adriz de mbusii
 
Sasa wanasusa nini wakati hiyo inastahili kuwa penalty kabisa? Labda kosa la Referee ni kupotezea kosa flani la mchezaji wa Senegal kusukumwa na hakuenda kwenye VAR
Na ndicho wanachodai Senegal
Goli lililokataliwa lirudiwe upya ndipo hiyo penalty ichezwe
 
AFCON hii ya Kis#nge mwenyeji mechi mbili anabebwa,Ashraf Hakim kakabia macho eti faulo us#n£ng£ mwingi sana.

Ukiuliza unambiwa mwenyeji,Brazil alikula saba na Germany nyumbani kwake yy akiwa mwenyeji,kombe la dunia.
Lile goli kabisa mzee
 
Back
Top Bottom