Only in Africa,Bora nisinge angalia mpira usnge usnge mwingi sana.
Ndio walichopangaWamepanga nin, kwamba nyie rudini uwanjani kaa golini pale nakupa mpira usiruke
Marefa sio changamoto. Changamoto ni viongozi wa juu wa CAF ndio wanaoleta shida.Only in Africa,
Hawa marefa weusi ni changamoto
Halafu utasikia Wazungu nyoko nyoko. Kumbe mijitu myeusi yenyewe ndo hatupendani.Watu weusi mna matatizo mengi sana lakini kikubwa hampendani ninyi kwa ninyi....Referee hakuwa upande wa watu weusi
Ila Africa daaaah inatia aibuHii penalty wamekubaliana
Mzee Mendy kazaliwa kwenye penalty box. Tuulize sisi tuliyechezana mitaa ya Metz Ufaransa.Mendy hadakagi penati
Tatizo wangesusia,nchi ingefungiwa.BORA WASUSIE MECHI WAWAPE MOROCCO KOMBE SI NDIO WANAVYOTAKA ******* HAWA
Kiukweli sijawahi kushuhudia Mendy akidaka penatiNi maelekezo ya kupiga ili game ibalance maana walikuwa wamedhila senegal
Hata wao wanajua, usiwafundishe. Kikubwa mambo ya CCM Senegal wameyakataa.Sijawahi kuona kitu kama hiki kwenye historia ya mpira. Timu kususa.
Senegal itafungiwa muda mrefu sana hata huenda wakafungiwa kwenda world cup.
adriz de mbusii
Jifunze kuwa mwelewa sio kila kitu kubisha aua haupo liveNyie mnaosema hiyo penati imepangwa mmewahi kucheza mpira wa mashindano?