Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,784
- 6,568
Chumaaaaa
Huwa anapigaje?Wewe Diaz sio wa kupiga penati vile
Kisa timu yenu ya mama yenu?Hii mitakataka Morocco
Naichukia sana
Safi Senegal 🔥🔥🔥
Mwisho wa ubaya ni aibu
Yeye ndio aliipambania lakinJamaa kacheza penaliti kwa maelekezo ionekane kakosea ili game ibalance
Acha kukaza shingo kuwa muelewaHuwa anapigaje?
Bila hivyo aibu ingekuwa ya CAF. Tangu awali malalamiko ya waamuzi yapo hususani mwwnyeji akicheza.Hii penalty wamekubaliana
Nilisema hawa ******* moroco wana mentality za kubebwa.....itawacostMoroco lazima wale chuma.....wana mentality za kubebwaa
Kwa nini nikuelewe na hauko uwanjani kaka?Acha kukaza shingo kuwa muelewa
Ameumia kuona team kubwa kama Morocco inashinda kwa kubebwa na Marefa kila siku hata ile na Tanzania alilia piaMbona analia?
Taifa stars ya Juzi?Kisa timu yenu ya mama yenu?
Kwamba alipewa maelekezo akose?Diaz atajuta kukubali maelekezo ya panati
Kuna namna tunastahili kubaguliwa kabisa🤗Taifa stars ya Juzi?
Mimi sipo upande wa Morocco tangu world cup walipotubagua.