Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kazeni wana kazeni au pigeni cha pili
Hili swali jibu lake analo Aguero wa man City aliwahi kumpigia penalti hv hv huyu huyu Mendy na akaudaka.Mendy hadakagi penati
Lazima, hiyo kanuni ilifutwaHivi kwani lazima ziishe zote dakika30?
Mahindi si keahapatikana
Hawa viumbe wa Senegal sijui wamefanya uwekezaji gani. Wana kizazi cha mpira haijawahi tokea AfrikaSadio ni mwamba
Ki mtaa wange tisha ujinga kama huu sio wa kuendekeza
100%Goli la Senegal lilikuwa halali na hii penati ya Morocco ni halali.
Refa alikosea sana kukataa lile goli.
Ardhi ya mola kanyaga kwa stahaMane the Saviour
I can't live without Mane
Will never walk alone
We'll walk with Sadio🔥🔥🔥😭
Sana, hapo ndio nilipoona huyu refa anaelekezwa maamuzi. Alishaweka kati, akapokea simu ya VAR kizembe kabisaGoli la Senegal lilikuwa halali na hii penati ya Morocco ni halali.
Refa alikosea sana kukataa lile goli.
Janjajanja Morocco
Damu ganiMorocco anashinda hii damu haiendi bure
Kazi bado.Usishangilie mapema.Senegal tupewe kombe letu jamani
Tukapumzike