Ilitakiwa apigaje?Wewe Diaz sio wa kupiga penati vile
Hii n fainali ya AFCON, angefunga wangekuwa mabingwa, Hii sio NBC yenuDiaz mtu sana amekosea makusudi ili game ibalance hapendagi dhulma kabisa hiyu jamaa tangu mechi na Tanzania niliona
Hii alishawahi kuifanya Harry Kane
Hapo Senegal wakomae tu kuzuiaKazi bado.Usishangilie mapema.
Angepiga juu angepaishaDiaz amekosa penati kusawazisha mambo,si kwa kupiga kivile.
Inatokea. Kwa zile purukushani walishaathirika kisaikolojiaDiaz amekosa penati kusawazisha mambo,si kwa kupiga kivile.
huo ndio ukweli hutaki jinyonge. Na senegal ndo mabingwa.Angepiga juu angepaisha
Angepiga pembeni angegonga Mwamba
Mlitaka apige wapi?
Yaani acha tu.Kummake kakosaje pale Sherif