Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Ila hii ni fainali kwelikweli. Senegal ni dunia nyingine ya soka kwa Afrika.
Ingawa kwenye maandalizi na viwanja jamaa wako mbali sana.Asanteni sana Senegal.
Morocco na Marefa wameharibu haya mashindano kwa kubebwa hadi kupitiliza
Khs viwanja, nawapa 101%Ingawa kwenye maandalizi na viwanja jamaa wako mbali sana.
Analijua hilo ila maamuzi yake yalikuwa hayoHii n fainali ya AFCON, angefunga wangekuwa mabingwa, Hii sio NBC yenu
Na hapa ndipo kuna shida. Tunaenda kuaibika hiyo mwakani.Khs viwanja, nawapa 101%
Wamefanya Kazi nzuri mno kwenye viwanja na hata afcon ijayo hakuna kiwanja chcht kitakachoifikia hvy vya Morocco
Ana balaa sanaPape Geyee ni mwamba