FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

Hata ile ya kutishia kususa mechi ilikua mind game, na mbinu yao imefanya kazi. Mchezaji yoyote wa moroco angepewa ile penati lazima kuna kauhuruma kangemjia
Diaz yule dogo ni kiazi tuu, Huwez kuleta mbwembwe kwenye fainali tena dkk za maji ya shingo
 
Ile ilikua penati halali kabisa. Labda tuseme refa angetumia busara maana ilikua penati soft sana harafu muda mbaya ukicheki game yenyewe fainali
Ndio, penalti ilikuwa halali na hata goli la Sarr nalo pia ilikuwa n goli halali, ile ilikuwa na soft foul hvy asingetakiwa kulikataa lile goli.
Kwa ujumla angetakiwa kubalance mechi kwa kuachana na ile penalti ila yeye ndo akafanya mambo kuwa mengi zaidi
 
Mcheza kwao hajatunzwa wahenga hoi hawaamini macho mao
 
Morocco, Algeria, Egypt, Tunisia sio waafrika wenyewe kwa kauli zao.

Senegalese asanteni sana.
 
Ndio, penalti ilikuwa halali na hata goli la Sarr nalo pia ilikuwa n goli halali, ile ilikuwa na soft foul hvy asingetakiwa kulikataa lile goli.
Kwa ujumla angetakiwa kubalance mechi kwa kuachana na ile penalti ila yeye ndo akafanya mambo kuwa mengi zaidi
Goli halikua halali yule jamaa aliepiga kichwa kikagonga mwamba kabla ya kupiga kile kichwa alimsukuma mwenzake
 
Kwani Penanka huwa inapigwa vipi?
Hakupunguza spidi ya mguu alipoukaribia mpira ambapo Angeona 75% ya joint za Mendy zikiwa hazina nafasi ya kurudi kucheza mpira Mana 25% kamwe haiwezi nyanyua 75%..
 
Back
Top Bottom