FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

Nakumbuka Aguero wa man City aliwahi kumpigia penalti ya aina hii ya paneka huyu huyu Mendy akiwa Chelsea, na Mendy akaudaka kiwepesi kama hv Leo na mechi ikaisha Chelsea kushinda kwa 2-1
 
Ooh Senegal let's show the wonder of Dakar to this stupid Momon,
Kpao no fia mia na ball fire ooo!!

[In Rema Yoruba accent chant's voices ]
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Penalty ya Diaz imefanana na ile ya "The bull striker" Meddie Kagere kwenye confederation cup aliyopiga dhidi ya Simba!!šŸ˜€
 
Senegal wangekutana na rungu la FIFA wasingeamini. This was embarrassing kwa Africa nzima.
 
Hivi kwani lazima ziishe zote dakika30?
Mahindi si keahapatikana
 
Back
Top Bottom